Mayaula Mayoni
Mandhari
Mayaula Mayoni (1945 - 2010) alikuwa msanii wa kurekodi muziki wa soukous, mtunzi na mwimbaji, katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Aliwahi kuwa mwanachama wa bendi ya soukous TPOK Jazz, iliyoongozwa na François Luambo Makiadi, ambayo ilitawala sana tasnia ya muziki wa Kongo kuanzia miaka ya 1950 hadi 1980[1]. Moja ya nyimbo bora za marehemu Mayaula Mayoni ni Cherie Bondowe