Nenda kwa yaliyomo

Maxence Lacroix

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maxence Guy Lacroix (alizaliwa 6 Aprili 2000)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa, ambaye anacheza kama beki katika klabu ya VfL Wolfsburg inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Ufaransa kwa walio na umri chini ya miaka 20.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maxence Lacroix kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.