Nenda kwa yaliyomo

Mavis Ogun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mavis ogun
Amezaliwa 24 Agosti 1973
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake Mchezaji wa mpira wa miguu

Mavis Ogun (alizaliwa 24 Agosti 1973) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambae anacheza kama beki wa timu ya taifa ya Nigeria. Alishiriki na timu yake ya taifa katika Kombe la Dunia la FIFA la wanawake la 1991, 1995 na Kombe la Dunia la Wanawake la FIFA 1999.[1]

  1. "FIFA Women's World Cup USA 1999 - Nigeria". FIFA Women's World Cup United States 1999. FIFA. 1999. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 Julai 2015. Iliwekwa mnamo 2007-09-28. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mavis Ogun kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.