Maurice Maeterlinck

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maurice Maeterlinck
Tuzo Nobel.png

Maurice Polydore Marie Bernard Maeterlinck (29 Agosti 18625 Mei 1949) alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchi ya Ubelgiji. Mwaka wa 1911 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maurice Maeterlinck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.