Mauaji ya Lari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mauaji makuu ya Lari (kwa lugha ya Kiingereza yanajulikana kama Lari massacre) ni mauaji yaliyotekelezwa na wapinzani wa Mau Mau walipovamia nyumba za waliokuwa wakiunga mkono watawala Wazungu. Kati ya nyumba zilizotembelewa ni nyumba yake chifu Luka Kahangara walikoua wenyeji na kuteketeza nyumba.

Hili lilifanyika tarehe 26 Machi 1953.

Ili kulipiza kisasi, Wazungu waliwaua wana Mau Mau takribani mia nne.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mauaji ya Lari kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.