Matteo Melluzzo
Mandhari
Matteo Melluzzo (alizaliwa 29 Julai 2002) ni mwanariadha nchini Italia ambaye alishinda medali ya dhahabu katika mashindano ya riadha ya Uropa mwaka 2024 katika mbio za kupokezana vijiti za mita 4 x 100 za wanaume.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Matteo Melluzzo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |