Matteo Guendouzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mattéo Guendouzi.

Matteo Guendouzi (alizaliwa Paris, nchini Ufaransa, 14 Aprili 1999) ni mchezaji wa soka wa Ufaransa mwenye asili ya Moroko ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza ya Arsenal FC na timu ya taifa ya Ufaransa ya chini ya miaka 21.

Kazi ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Guendouzi aliwakilisha Ufaransa katika ngazi ya mashindano ya chini ya miaka 20.

Guendouzi ana sehemu ya asili kama raia wa Moroko, Guendouzi alifikiwa na meneja wa Moroko Hervé Renard mwaka 2017 kubadili na kucheza katika timu ya taifa ya Morocco. Hata hivyo, baada ya baba yake Guendouzi kukutana na Renard mwezi Machi 2017, Guendouzi aliamua kubaki na kuwa raia wa Ufaransa.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Matteo Guendouzi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.