Matomondo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Matomondo ni jina la kata ya Wilaya ya Mpwapwa katika Mkoa wa Dodoma, Tanzania yenye postikodi namba 41615[1] . Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 17131 [2] waishio humo.

Kata ya Matomondo ina vijiji vitano ambavyo ni

  • Mbori, ambapo ndipo makao makuu ya kata
  • Tambi, ambapo kuna sekondari ya kata inayoitwa Matomondo Secondary
  • Mlembule
  • Mwenzele
  • Nana

Inasemekana kuwa jina Matomondo lilitokana na mnyama aliyekuwa akiishi katika mto unaopatikana maeneo yaliyo katika kata hiyo. Mnyama huyo aliitwa Itomondo, kwa Kiswahili ni Kiboko.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-03-21. Iliwekwa mnamo 2017-11-01.
  2. Sensa ya 2012, Dodoma - Mpwapwa DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2016-05-18.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Mpwapwa - Mkoa wa Dodoma - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Berege | Chipogoro | Chitemo | Chunyu | Galigali | Godegode | Gulwe | Ipera | Iwondo | Kibakwe | Kimagai | Kingiti | Lufu | Luhundwa | Lumuma | Lupeta | Malolo | Mang'aliza | Massa | Matomondo | Mazae | Mbuga | Mima | Mlembule | Mlunduzi | Mpwapwa Mjini | Mtera | Nghambi | Pwaga | Rudi | Ving'hawe | Wangi | Wotta