Matini fiche

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Katika utarakilishi, matini fiche (kwa Kiingereza: hidden text) ni matini ya tarakilishi yanayoonyeshwa ili yasionekane kwa macho. Kwa kawaida, matini fiche yanatumika ili mtumiaji asione habari tata vya tovuti au ili kuficha mpotezi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).