Nenda kwa yaliyomo

Materuni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maporomoko ya maji Materuni.

Materuni ni sehemu ya Wilaya ya Moshi katika kijiji cha Kishumundu, kata ya Uru Mashariki. Jina lilitokana na makazi ya watu wa ukoo wa Materu ambao ndio waanzilishi wa kijiji. Koo nyingine zinazopatikana katika kijiji hiki ni kama vile Akaro, Chuwa, Kessi, Maro, Mauki, Mmbando, Pacho, Shirima, Tete.

Imekuwa maarufu kwa maporomoko ya maji yanayovutia watalii wengi[1][2]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. TANAPA (2023). "Materuni Waterfalls – Kilimanjaro Region". *Tanzania National Parks Authority*. https://www.tanzaniaparks.go.tz
  2. Tanzania Tourism Board (2024). "Materuni Village and Waterfalls – Moshi". *Tanzania Tourist Board Resources*. https://www.tanzaniatourism.go.tz
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Materuni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Isipokuwa usitaje majina ya viongozi waliopo sasa maana wanabadilika haraka mno.