Nenda kwa yaliyomo

Maporomoko ya Maji Materuni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maporomoko ya Maji Materuni.
Mtalii wa ndani akifurahia Maporomoko ya Maji Materuni.

Maporomoko ya Maji Materuni ni moja ya maporomoko ya maji katika Mto Mware (kata ya Uru Mashariki, Wilaya ya Moshi Vijijini, mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania Kaskazini Mashariki). Yanapatikana katika kijiji cha Materuni pembezoni mwa hifadhi ya mlima Kilimanjaro (volkeno).[1]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-09-22. Iliwekwa mnamo 2020-01-31.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Maporomoko ya Maji Materuni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Isipokuwa usitaje majina ya viongozi waliopo sasa maana wanabadilika haraka mno.