Nenda kwa yaliyomo

Mateo Vidal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mateo Lucas Vidal Medina (Montevideo, Uruguay, 17 Oktoba 1780Buenos Aires, Argentina, 8 Januari 1855) alikuwa kasisi na mwanasiasa.

Alichaguliwa kuwa mbunge katika Mkutano wa Mwaka XIII. Baadaye alishiriki katika Mkutano wa Katiba ulioandika Katiba ya Argentina ya mwaka 1826.

Mabaki yake yamezikwa katika Makaburi ya La Recoleta huko Buenos Aires.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.