Nenda kwa yaliyomo

Mateo Kovacic

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mateo Kovacic.

Mateo Kovačić (alizaliwa 6 Mei 1994) ni mchezaji wa soka wa Kroatia ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Uingereza Chelsea na timu ya taifa ya Kroatia.

Kovacic alianza kazi yake huko Dinamo Zagreb akiwa na umri wa miaka 16, ambapo aliisaidia timu yake kushinda makombe mawili ya ligi mfululizo kabla ya kujiunga na Internazionale Milano mwaka 2013.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mateo Kovacic kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.