Internazionale Milano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
mashabiki wa inter milan kwenye fainali ya uefa kwenye uwanja wa santiago bernabeu
Faili:Internazionale.svg

Internazionale Milano, maarufu kama Inter au Inter Milan kwa wasio wataliano ni klabu ya mpira wa miguu iliyopo Milano nchini Italia. Ni moja ya timu zinazoheshimika duniani. Timu hii ilianzishwa mwaka 1908 na mashabiki wa AC Milan ambao walitaka timu iruhusu wachezaji wa kigeni ndio maana ikapata jina la Internazionale (ya kimataifa).

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Internazionale Milano kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.