Nenda kwa yaliyomo

Matěj Kovář

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Matěj Kovář (alizaliwa 17 Mei 2000)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Czech, ambaye anacheza kama golikipa katika klabu ya Bayer 04 Leverkusen inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Czech.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "2020/21 Premier League squads confirmed". www.premierleague.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-29.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Matěj Kovář kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.