Mashindano ya sleji
Mandhari
Mashindano ya mbio kwa sleji ni sehemu ya michezo ya Olimpiki tangu mwaka 1964.
Kwenye njia za barafu zenye mtelemko mkali sleji zinafikia kasi ya 150 km/h au zaidi. Kwa hiyo ni mchezo wa hatari kiasi na ajali zimetokea mara kadhaa ambako watu wamekufa.
Katika nchi nyingi kwenye kipindi cha barafu na theluji watoto huwa na sleji ndogo: wanazitumia kuteleza chini kwenye mitelemko ya vilima.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Mashindano ya sleji kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |