Martin Ødegaard
Martin Ødegaard, alizaliwa 17 Desember 1998 [1] [2] [3] ni mchezaji wa mpira wa miguu ambaye anacheza kama kiungo mshambuliaji katika klabu ya mpira wa miguu ya Arsenal[4] na nahodha wa timu ya Taifa ya Norway.
Martin Ødegaard, alianza kazi ya mpira kwenye vilabu vikubwa akiwa na umri wa miaka 15 mnamo 2014 akichezea Strømsgodset. Aliweka rekodi ya mfungaji bora mwenye umri mdogo na mnamo 2015, alijiunga na Real Madrid kwa uhamisho wa thamani ya €4 milioni, ambapo aliweka rekodi ya kuwa mchezaji mwenye umri mdogo.
Martin Ødegaard, alicheza mechi yake ya kwanza ya kimataifa akitumikia Norway mwaka wa 2014, akiwa na umri wa miaka 15, na ameweka rekodi ya kuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi wa timu ya Taifa ya Norway, na mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kucheza mechi ya kufuzu kwa UEFA Europa.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Martin Ødegaard: Overview". ESPN. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Machi 2021. Iliwekwa mnamo 12 Machi 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Acta del Partido celebrado el 23 de mayo de 2015, en Madrid" [Minutes of the Match held on 23 May 2015, in Madrid] (kwa Kihispania). Royal Spanish Football Federation. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-04-17. Iliwekwa mnamo 6 Agosti 2019.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Martin Ødegaard: Overview". Premier League. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Machi 2021. Iliwekwa mnamo 12 Machi 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Teen star Odegaard headlines Norway squad to face Socceroos". The World Game. Special Broadcasting Service. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 21 Machi 2018. Iliwekwa mnamo 21 Machi 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Martin Ødegaard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |