Martha Nasibu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Martha Nasibù (alizaliwa Addis Ababa, 1931) ni mwandishi na msanii wa Ethiopia anayeishi kwa sasa Perpignan, Ufaransa. Jina la baba yake linajulikana kama Nassibou.

Binti wa Nasibu Zeamanuel, Alizaliwa Addis Ababa, alihamia Italia mnamo mwaka 1936 alisoma katika chuo cha sanaa cha Académie des Beaux huko Paris na Arts Student League ya New York.

Maonyesho yake ya kwanza ya kazi yalipangwa na wizara ya elimu na sanaa ya Ethiopia mnamo mwaka 1945. Nasibù alikuwa mwanachama mwanzilishi wa klabu ya wasanii ya Ethiopia ,Anaishi Perpignan na Sanaa yake imejumuishwa katika mkusanyiko wa jumba la kumbukumbu la kitaifa la Ethiopia. Sanaa yake imejumuishwa katika mkusanyiko wa jumba la kumbukumbu la kitaifa la Ethiopia.

Mnamo 2005, alichapisha Memorie di una Principessa etiope, ambayo inaelezea uvamizi wa Ethiopia na Wafashisti wa Italia. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Martha Nasibu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.