Martha Moses Mlata

From Wikipedia
Jump to navigation Jump to search

Martha Moses Mlata ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[edit | edit source]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017