Marquinhos

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marquinhos akiwa amesimama na mchezaji mwenzake Thiago Silva

Marcos Aoás Corrêa (anayejulikana kama Marquinhos; matamshi ya Kireno cha Brazil: [maʁkĩjus]; alizaliwa tarehe 14 Mei 1994) ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye anacheza katika klabu kutoka Ligue 1 inayoitwa Paris Saint-Germain(PSG) na timu ya taifa ya Brazil.

Marquinhos amecheza katika klabu tatu:

  1. Corinthians
  2. Roma
  3. Paris Saint-Germain

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marquinhos kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.