Mark Mwandosya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mwandosya

Mark James Mwandosya (amezaliwa tar. 28 Desemba 1949) ni mbunge wa jimbo la Rungwe Mashariki katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Mark James Mwandosya (1 Septemba 2008). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.