Mark Mwandosya
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mark James Mwandosya)
Mark James Mwandosya (amezaliwa 28 Desemba 1949) aliwahi kuwa mbunge wa jimbo la Rungwe Mashariki katika bunge la kitaifa nchini Tanzania kuanzia Novemba 2000 hadi Julai mwaka 2015.[1] Alitokea katika chama cha CCM.
Alikuwa waziri wa usafiri 2000-2005[2] halafu waziri wa maji 2008 hadi 2012[3], akaendelea kuwa waziri hadi 2015.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Mengi kuhusu Mark James Mwandosya". 1 Septemba 2008. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
- ↑ Hassan Muhiddin, "JK’s beefed up team" Ilihifadhiwa 3 Januari 2007 kwenye Wayback Machine., Guardian (IPP Media), January 5, 2006.
- ↑ Austin Beyadi, "Public welcomes new cabinet", Guardian (IPP Media), February 13, 2008.
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |