Nenda kwa yaliyomo

Mario Gomez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mario Gomez.

Mario Gomez (alizaliwa 10 Julai 1985) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Ujerumani anayeichezea timu ya klabu ya VfB Stuttgart.

Gomez kabla ya kwenda VfB Stuttgart aliichezea timu ya Bayern Munich kuanzia mwaka 2009 mpaka 2013.Gomez aliisaidia timu yake ya Bayern Munich kutwaa ubingwa wa UEFA league walipocheza fainali dhidi ya Dortmund mwaka 2013.

Mwaka 2013 Bayern Munich ilimuuza kwenda Fiorentina ya huko Italia kwa ada ya paund milioni 20.Alipotua Fiorentina Gomez aliandamwa na majeraha na timu yake ikaamua imtoe kwa kwa mkopo kwenda Beşiktaş ambapo aliibuka kuwa mfungaji bora wa ligi hiyo ya Uturuki.Kwa upande wa timu ya taifa Gomez aliiwezesha imu yake ya taifa ya Ujerumani kutwaa kombe la dunia huko Brazil baada ya kuifunga timu ya taifa ya Argentina mwaka 2014.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mario Gomez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.