Nenda kwa yaliyomo

Mario Aurelio Poli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mario Aurelio Poli

Mario Aurelio Poli (alizaliwa 29 Novemba 1947) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Argentina ambaye alikuwa Askofu Mkuu wa Buenos Aires kuanzia 2013 hadi 2023. Alikuwa Askofu wa Santa Rosa kuanzia 2008 hadi 2013 na kabla ya hapo alikuwa Askofu Msaidizi wa Buenos Aires kuanzia 2002 hadi 2008.

Papa Fransisko, ambaye alikuwa mtangulizi wake katika Buenos Aires, alimteua kuwa Kardinali mwaka 2014.[1]

  1. Mario Aurelio Poli in The Cardinals of the Holy Roman Church
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.