Mariam Lamizana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mariam Lamizana (alizaliwa Bobo-Dioulasso, Burkina Faso, 1951 ni mtoto wa kike wa Sangoulé Lamizana, Afisa wa jeshi aliyewahi kuwa rais wa Volta ya Juu miaka 1966 - 1980. Ni mwanakampeni aliyepinga ukeketwaji kwa watoto wa kike,Lazimana alikuwa ni raisi wa kwanza wa Kamati ya Kitaifa ya Kupambana na Ukata(CNLPE), pia ni Raisi baina ya mabaraza ya kiafrika kwenye Taratibu za Kimila Zinazoathiri Afya ya Wanawake na Watoto(IAC).Ametumikia serikali ya Burkinafaso kama Waziri wa Shughuli za Jamii na Mshikamano wa Kitaifa tangu mnamo 2001 mpaka 2002.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]