Nenda kwa yaliyomo

Maria Carvajal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maria Carvajal mnamo 2015

María Belén Carvajal Peña (alizaliwa 13 Septemba 1983) ni mwamuzi wa mpira wa miguu wa kimataifa wa nchini Chile. [1] [2] Alikua mwamuzi rasmi katika michuano ya Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake 2019 nchini Ufaransa. [3] [4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://worldreferee.com/referee/maria_carvajal/
  2. "Chile - M. Carvajal - Profile with news, career statistics and history - Soccerway".
  3. "FIFA".
  4. FIFA.com
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maria Carvajal kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.