Marcos Llorente

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marcos uwanjani.

Marcos Llorente ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anacheza kama kiungo wa kati kwenye timu ya Real Madrid.

Alizaliwa huko Madrid. Marcos Llorente alijiunga na vijana wa Real Madrid mwaka 2008, akiwa na umri wa miaka 13.Mwezi Julai 2014, baada ya kuvutiwa na kikosi cha Real Madrid, alipandishwa moja kwa moja kwenye hifadhi na meneja Zinedine Zidane.

Tarehe 23 Septemba 2017, mkataba wa Llorente uliongezewa muda mpaka mwaka wa 2021.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marcos Llorente kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.