Marco Reus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marco Reus

Marco Reus (alizaliwa 31 Mei 1989 [1][2] ) ni mchezaji wa soka wa Ujerumani ambaye anachezea klabu ya Borussia Dortmund, ambapo yeye ni nahodha wa klabu, na timu ya taifa ya Ujerumani.

Yeye anajulikana kwa ushujaa, kasi na mbinu zake.

Reus alitumia kazi yake ya ujana huko Borussia Dortmund, kabla ya kuondoka kwa Rot Weiss Ahlen. Amechezea klabu tatu katika kazi ya soka , hasa hasa-na kwa ushawishi mkubwa-huko Borussia Dortmund wa Bundesliga.Reus anacheza kama mshambulizi wa kushoto wa klabu hiyo.Kutokana na uwezo wake wa kudhibiti mpira kwa miguu miwili.

2012 ulikuwa msimu wake wa mafanikio wakati, akifunga mabao 18. Reus alikubali kuhamia klabu yake ya nyumbani Borussia Dortmund mwishoni mwa msimu huo na chini ya mkataba wa BVB hadi 2023.Reus amevaa jezi namba 11 kwa Dortmund.Kwa Dortmund, Reus alishinda DFL-Supercup ya 2013 na Kombe la Ujerumani mwaka 2017.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marco Reus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.