Marcelo Rebelo de Sousa
Mandhari
Marcelo Nuno Duarte Rebelo de Sousa (amezaliwa 12 Desemba 1948) ni mwanasiasa na mwandishi wa habari wa Ureno anayehudumu kama Rais wa 20 na wa sasa wa nchi tangu tarehe 9 Machi 2016.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marcelo Rebelo de Sousa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |