Nenda kwa yaliyomo

Marcel Lotka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marcel Laurenz Lotka (alizaliwa 25 Mei 2001) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Polandi, ambaye anacheza kama golikipa katika klabu ya Borussia Dortmund inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Polandi.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Marcel Lotka". www.bvb.de. Iliwekwa mnamo 2024-06-28.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marcel Lotka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.