Orodha ya Marais wa Zimbabwe
Mandhari
(Elekezwa kutoka Marais wa Zimbabwe)
Ukarasa huu una orodha ya marais wa Zimbabwe:
Orodha
[hariri | hariri chanzo]# | Jina (miaka ya maisha) |
Picha | Muda wa Utawala | Chama | |
---|---|---|---|---|---|
1 | Canaan Banana 1936-2003 |
18 Aprili 1980 | 31 Desemba 1987 | (ZANU) | |
2 | Robert Mugabe 1924-2019 |
31 Desemba 1987 | 21 Novemba 2017 | (ZANU–PF) | |
3 | Emmerson Mnangagwa | 21 Novemba 2017 | (ZANU–PF) |
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu: