Manuel Neuer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Manuel Peter Neuer, amezaliwa tarehe 27 Machi 1986 ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Ujerumani, ambaye anacheza kama golikipa katika timu ya Bayern Munich na timu ya Taifa ya Ujerumani.

Neuer alikuwa golikipa bora wa Ujerumani, naye ameelezewa kama "sweeper-mlinzi" kwa sababu ya kipekee ya kucheza mtindo wake wa kasi, wakati wa kukimbilia mbali akifuata mpira kwenye mstari wake kutarajia wapinzani. Pia anajulikana kwa ajili ya kuruka kwa haraka sana.

Neuer ameanzia timu ya Ujerumani iitwayo schakle04.

Mnamo 2014, Neuer alimaliza wa tatu katika upigaji kura, nyuma ya Lionel Messi na Cristiano Ronaldo, kwa tuzo ya FIFA Ballon d'Or. Alipewa Kipa wa UEFA wa Mwaka na Kipa Bora wa Dunia. Kwa sasa bado ni kipa pekee aliyewahi kushinda Ballon d'Or.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Manuel Neuer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.