Manuel Gómez González
Mandhari
Manuel Gómez González (29 Mei 1877 – 21 Mei 1924) alikuwa kasisi Mkatolikikutoka Hispania mmisionari na shahidi nchini Brazil.[1]
Papa Benedikto XVI alimtangaza mwenye heri tarehe 21 Oktoba 2007.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |