Manofi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Manofi
Manofi domo-jekundu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Passeroidea (Ndege kama shomoro)
Familia: Ploceidae (Ndege walio na mnasaba na kwera)
Ngazi za chini

Jenasi 2, spishi 3:

Manofi ni ndege wadogo kiasi wa jenasi Bubalornis na Dinemellia katika familia Ploceidae ambao wanatokea Afrika tu. Ndege hawa wana mwendo kama kwera lakini ni wakubwa zaidi na hujenga matago yao kwa makundi. Spishi mbili ni nyeusi na spishi moja ni nyeusi na nyeupe. Hula mbegu hasa na wadudu pia, hususa makinda. Spishi hizi hulijenga tago lao ndani ya msongo wa vijiti. Mara nyingi kuna matago kadhaa katika msongo mmoja. Jike huyataga mayai 2-5.

Spishi[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]