Manaslu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Manaslu

Manaslu ni mlima mrefu, wenye kimo cha m 8,163 juu ya usawa wa bahari. Ni sehemu ya safu ya milima ya Himalaya.

Kilele chake kipo katika nchi ya Nepal.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Manaslu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.