Nenda kwa yaliyomo

Malmö

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Malmö (nyuma: Kopenhagen)
Turning Torso, Malmö

Malmo (au Malmö) ni mji mkubwa wa tatu nchini Uswidi wenye wakazi 265,000.

Iko upande wa kusini wa nchi kando ya mlango wa bahari ya Oresund ikitazama Kopenhagen upande wa Denmark. Miji yote miwili imeunganishwa na daraja la Oresund.

Malmo ni mji mkuu wa jimbo la Skåne.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Malmö kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.