Makgatho Mandela

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makgatho Lewanika Mandela (26 Juni 1950 - 6 Januari 2005) alikuwa mtoto wa Nelson Mandela kutoka kwa mke wake wa kwanza Evelyn Mase. Yeye ndiye baba wa Ndaba Mandela.

Alifariki kwa Ukimwi mnamo 6 Januari 2005 huko Johannesburg.

Familia[hariri | hariri chanzo]

Alikuwa ameoa mara mbili. Mkewe wa kwanza alikuwa Rose Rayne Perry (baadaye aliitwa Nolusapho). Mkewe wa pili alikuwa Zondi. Alikuwa na watoto wa kiume wanne. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Genealogy – Nelson Mandela Foundation". www.nelsonmandela.org (kwa en-us). Iliwekwa mnamo 2 February 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Makgatho Mandela kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.