Majimaji
Mandhari
Majimaji inaweza kumaanisha
- hali ya kiowevu au kimiminika
- harakati iliyoanzishwa na Kinjikitile Ngwale na kuleta Vita ya Maji Maji ya miaka 1905-1907 iliyokuwa jaribio la wananchi wa kusini mwa koloni la Afrika ya Mashariki ya Kijerumani kuwafukuza wakoloni