Majadiliano ya mtumiaji:Moeng
as I will not be monitoring this talk page very often, - thanks !, -moeng
Hello, Moeng, and welcome to Swahili Wikipedia, the free encyclopedia. Thank you for logging in and for your contributions. We hope you like the place and decide to stay. Here are a few good links for newcomers:
- If you need to ask any questions, visit our Village Pump.
- Don't speak Swahili? Our embassy will help you!
- Do you need a flag for your bot? You can read the current policy on bots, and then make a request here.
- In case you would like to directly contact any of our administrators, take a look at their list.
We are looking forward to seeing you here more often! Again, welcome!
--Baba Tabita (majadiliano) 15:25, 27 Oktoba 2010 (UTC)
Tafadhali uangalie jamii kuhusu mfumo wa kuanzisha makala
[hariri chanzo]Mpendwa, nakuomba kuaangalia ukurasa wa Jumuiya. Tuliomba wikimedia ya kutpa mfumo wa kuzuia watumiaji wasiojiandikisha wasianzise makala mapya. Kusudi lilikuwa kupunguza idadi ya makala mabaya yasiyotosheleza masharti ya wikipedia ilhali tuko wachache mno kuziangalia. Wikipedia kubwa kadhaa zinatumia utaratibu huu (kama en:wikipedia) lakini sisi tunapaswa kupeleka ombi kwa kamati fulani. Kamati hii wametupa nafasi kwa kipindi ha miezi 6 tu inayokwisha karibuni. Sasa wanakamati wamekuja wanadai tujieleza au watarudisha mfumo huu nyuma. Mimi nikiwa 1 kati ya wachache wanaochugulia makala mapya naona itaturudisha nyuma. Naomba mchangie! Sanaaaaa!! Kipala (majadiliano) 23:36, 10 Septemba 2015 (UTC)