Wikipedia:Ubalozi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ona pia: http://meta.wikimedia.org/wiki/Wikipedia_Embassy

Kiswahili[hariri chanzo]

Karibu kwenye ubalozi wa wikipedia ya Kiswahili! Ukiwa na matangazo au maswali kuhusu mambo ya kimataifa ya wikipedia kwa jumla au kuhusu wikipedia hii ya Kiswahili unakaribishwa kuyaandika hapa chini au kwenye ukurasa wa [[Talk:Wikipedia:Ubalozi|majadiliano]] ya makala hii.

English[hariri chanzo]

Welcome to the embassy of the Swahili-speaking Wikipedia! If you have any announcements or questions regarding international issues or the Swahili Wikipedia, you are invited to post them here or to the Talk page for this article.