Majadiliano ya mtumiaji:Khalid M.

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Salaam nyingi kutoka Dar es Salaam, zikufikie Nd. Khadlid M! Karibu sana kwenye Wikipedia ya Kiswahili. Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Kwa sasa, tupo wachache sana. Sana-sana utaonina mie (Muddyb) na Kipala - tuliyetayari kukusaidia! Ukiwa unaswali, we uliza tu na utajibiwa!!! Niite Muddyb Blast au,--Mwanaharakati (Longa) 08:55, 9 Mei 2009 (UTC)[jibu]

Ahsante sana kwa kunikaribisha!!--Khalid M. (majadiliano) 09:00, 9 Mei 2009 (UTC)[jibu]
Khe! Umejibu haraka hivyo?? Basi unakaribishwa! Mengineyo: Wewe unapendelea kuandika habari gani? Kwa mfano mimi napenda habari za muziki na filamu!--Mwanaharakati (Longa) 09:10, 9 Mei 2009 (UTC)[jibu]
Mpira wa miguu ndiyo hasa habari ambazo ningependela kundika, ni matumaini yangu zitawavutia wasomaji wengi--Khalid M. (majadiliano) 09:43, 9 Mei 2009 (UTC)[jibu]
Mmhh! Ehee, naona hiyo siko fiti sana katika masuala ya mpira, kaka! Lakini kuhusu msaada wa namna ya kuanzisha makala na majedwali ya wachezaji (sanduku la kujumlishia habari za wachezaji mpira), nitaweza kukuonyesha! Tupo pamoja.--Mwanaharakati (Longa) 10:04, 9 Mei 2009 (UTC)[jibu]

There is a Kiswahili Wikipedia Challenge running for the next two months. If you are interested, please take a look: http://www.google.com/events/kiswahili-wiki/ http://sw.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Kiswahili_Wikipedia_Challenge

Sj (majadiliano) 18:24, 20 Novemba 2009 (UTC)[jibu]