Majadiliano ya Wikipedia:Jedwali
Mandhari
Kha! Inastajabisha! Nimeongezea kitu kidogo tu, basi. Awali sikuona viungo vya interwiki, lakini mara hii ninaviona! Basi hongera kwa kazi ya kutengeneza miongozo hii. Kila la kheri.-- MwanaharakatiLonga 14:08, 8 Desemba 2009 (UTC)
- Lakini miaka 10 baadaye interwiki bado inahitajika? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:50, 17 Juni 2019 (UTC)
- Interwiki inahitajika kwa sababu inasaidia. Ila tu siku hizi wa kuunganisha kila makala na wikidata, si tena kwa kuingiza viungo kwa wikipedia nyingine moja-moja. Kipala (majadiliano) 08:01, 17 Juni 2019 (UTC)