Wikipedia:Jedwali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Jedwali la Wikipedia ni njia nzuri ya kupanga na kueleza data na namba, wakati mwingine pia maelezo ya kimaandishi.

Jedwali katika Wikipedia hutumia lugha ya misimbo isiyo vigumu sana lakini inatakiwa matumizi ya makini kabisa.

Ukurasa huu unakupa mifano kadhaa ya jedwali.

sehemu zinazoonekana hivyo zinanakiliwa na kumwagwa kwenye dirisha la hariri.
Maneno yaliyopo sasa ni mifano tu; badala yale weka namba na maandishi unayohitaji.

LAKINI usifute alama za misimbo kwa mfano "|", "|-" au "!".
ISIPOKUWA kwa njia inayoelezwa hapa kwa kuongeza au kupunguza misafa na nguzo.

Jedwali yenye nguzo 2 na misafa 2

Kichwa 1 Kichwa 2
msafa 1, nguzo 1 msafa 1, nguzo 2
msafa 2, nguzo 1 msafa 2, nguzo 2

Jedwali hii ya juu unapata kwa njia ya misimo ifuatayo:

{| class="wikitable" border="1"
|-
! Kichwa 1
! Kichwa 2
|-
| msafa 1, nguzo 1
| msafa 1, nguzo 2
|-
| msafa 2, nguzo 1
| msafa 2, nguzo 2
|}

Nakili maandishi ya juu, bandika kwenye dirisha la hariri ya makala yako. Badala ya maneno kama "Kichwa 1" au "msafa 1, nguzo 2" andika namba au maandishi unayohitaji.

Jedwali yenye nguzo 3 na misafa 3

Kichwa 1 Kichwa 2 Kichwa 3
msafa 1, nguzo 1 msafa 1, nguzo 2 msafa 1, nguzo 3
msafa 2, nguzo 1 msafa 2, nguzo 2 msafa 2, nguzo 3

Jedwali hii ya juu unapata kwa njia ya misimo ifuatayo:

{| class="wikitable" border="1"
|-
! Kichwa 1
! Kichwa 2
! Kichwa 3
|-
| msafa 1, nguzo 1
| msafa 1, nguzo 2
| msafa 1, nguzo 3
|-
| msafa 2, nguzo 1
| msafa 2, nguzo 2
| msafa 2, nguzo 3
|}

Nakili maandishi ya juu, mwaga kwenye dirisha la hariri ya makala yako na badilisha maneno kama "Kichwa 1" au "msafa 2, nguzo 3" na namba au maandishi unayohitaji.

Tazama pia

Bofya hapa ukitaka kubadilisha jedwali, kuongeza au kupunguza nguzo:

Wikipedia:Kubadilisha jedwali