Majadiliano:Tanga (mji)

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Asili ya jina[hariri chanzo]

Maelezo ya maana ya jina Tanga si sahihi. Maana hakuna asili katika lugha ya Kiajemi(Farsi), hii ni hakika. Mnamo 1913 Uhlig katika Kamusi ya Koloni za Kijerumani alirejelea jina kwa umbo la Kisiwa cha Toten (Kisiwa cha Wafu, cha makaburi) kinachofanana na umbo la tanga la jahazi. Kipala (majadiliano) 20:59, 22 Februari 2017 (UTC)[jibu]