Majadiliano:Silent ocean (TZ) Limited

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ndugu Moses Makala inakosa vyanzo mbalimbali, sio sahihi sana kutumia tovuti ya kampuni kama chanzo cha kuandika makala juu ya kampuni husika. Hivyo usipojitahidi kuweka vyanzo makala inaweza kupendekezwa kufutwa. Amani! Czeus25 Masele (majadiliano) 15:33, 23 Septemba 2020 (UTC)

Ninamshauri—kama kweli anataka kuchangia hapa, si lazima aje na makala ya Silent Ocean. Bora aandike zingine. Hii tufute. Imekaa kibiashara zaidi. Lengo lake ni nini? Kampuni ina impact gani? Kwanini iwepo humu? Maswali ni mengi. Kipi ilichofanya hata ikahitaji makala. Tumeona IPP Media kuwepo kwa sababu ya magazeti yake, TV, redio na kadhalika. Impact yake ni kubwa katika jamii. Hii ina nini? Asipojibu ndani ya masaa 48 tutaifuta tena makala hii!'Muddyb Mwanaharakati' 'Longa' 09:13, 24 Septemba 2020 (UTC)
Ndugu, kurasa za mitandao ya kijamii sio marejeo sahihi katika makala. Ni vyema usome nguzo tano muhimu za uandishi katika wiki. Soma Hapa Czeus25 Masele (majadiliano) 04:54, 25 Septemba 2020 (UTC)

Pendekezo la ufutaji wa makala[hariri chanzo]

Makala hii imependekezwa kufutwa, Hivyo inaweza kuboreshwa kwa kutoa vyanzo vya awali vyenye taarifa sahihi juu ya makala kwa kufuata taratibu za uandishi wa makala. Czeus25 Masele (majadiliano) 14:06, 25 Septemba 2020 (UTC)