Mtumiaji:Molee4real

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Karibuni sana kwenye ukurasa wangu. Mimi ni Moses Eugen. Ni mwanafunzi wa chuo cha Tehama na uchukuzi Jijini Dar es salaam. Mimi ni mhariri wa kujitolea katika kundi la wahariri wa wikipedia nchini Tanzania. Nipo hapa kusaidia na kuelimika pia.