Majadiliano:Silabi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Makala ya Silabi mwambatano iunganishwe[hariri chanzo]

Istilahi ya "silabi mwambatano" haieleweki; tena maelezo yake ni ya silabi tu. --Baba Tabita (majadiliano) 14:35, 1 Machi 2013 (UTC)

Dokta Oliver, huo ni uga wako bwana! Amua kadiri ipasavyo na sisi tunaunga mkono!--MwanaharakatiLonga 15:22, 1 Machi 2013 (UTC)