Majadiliano:Shishiyu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Shishiyu ina vijana wasomi wengi,hivyo wanatiwa moyo wote kuingiaeneo hili na wasome ili kuwekamiradi endelevu ya utekelezaji uelimishaji jamii ili kuweka sawa zaidi mambo yote endelevu yalioko hapa SHISHIYU.

KILIMO CHA MAZAO DAWA![hariri chanzo]

Je ALO VERA unaweza kuilezaje,ikiwa kama dawa-lishe,ngozi,tiba na vinginevyo? kadri uwezavyo toa ufafanuzi: karibuni!!!!

Mpendwa utapata karibuni makala kuhusu Aloe vera (kama jina hili linaonekana kwa rangi ya buluu - makala iko tayari!) kwa Kiswahili asante kwa swali jema! OMBI LANGU: ujiandikishe hapo, chagua jina na ujiandikishe inarahisisha sanaaa mawasailiano kati ya wachangiaji. Maelezo yako hapa: Wikipedia:Mwongozo_(Kujisajili). Ndimi wako Kipala (majadiliano) 15:42, 29 Novemba 2014 (UTC)