Majadiliano:Nadharia ya uhusianifu

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nasema kiswahili kidogo tu. Msaidie...asante. --Fashionslide (majadiliano) 21:57, 8 Aprili 2012 (UTC)[jibu]

Hakika si "Nadharia ya uhusiano". Labda "uhusianifu"? Maana KAST inatumia "husianifu" kwa "relative". --Kipala (majadiliano) 14:22, 9 Aprili 2012 (UTC)[jibu]

BAsi nakumbuka temshatumia "nadharia ya uhusianifu" katika Kasi ya nuru na shimo jeusi --Kipala (majadiliano) 14:25, 9 Aprili 2012 (UTC)[jibu]

Fashionslide, I agree with you that your Kiswahili is very limited. That is ONE very good reason not to edit again without PREVIOUSLY asking someone about it. If it is not detected we have nonsense that will remain for a long time. Kipala (majadiliano) 14:31, 9 Aprili 2012 (UTC)[jibu]

Asante. Samahani.--207.233.86.123
Tunashukuru ukichangia kitu. Ila tu kama Kiswahili chako ni hafifu peleka kwanza mapendekezo au hoja kwenye ukurasa wa majadiliano na ukuomba ushauri. Karibu sana. Kipala (majadiliano) 14:16, 11 Aprili 2012 (UTC)[jibu]