Majadiliano ya mtumiaji:Fashionslide

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ndege / sauri[hariri chanzo]

Salaam nimerejesha badiliko lako katika makala ya ndege. Naomba uangalie katika makala ya wanyama swali la uainishaji. Kama unataka kuonyesha uhusiano wa kihistoria naomba utumie lugha inayoeleweka na kuiweka katika mazingira ya faili, nusaufaila na ngeli. Kipala (majadiliano) 07:00, 15 Aprili 2012 (UTC)[jibu]